Tusiime  Schools

CSEE 2012 Examination Results - FORM IV

CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS S2499 TUSIIME SECONDARY SCHOOL DIV-I = 40 DIV-II = 65 DIV-III = 47 DIV-IV = 12 FLD = 0

Shule ya Tusiime Yangara Tena Kidato Cha Pili

Baada ya kuongoza kwa kutoa wanafunzi bora kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka jana, shule ya sekondari ya Tusiime iliyoko Tabata, Dar es salaam imeendelea kung'ara kutoa wanafunzi bora kitaifa katika mmatokeo ya kidato cha pili mwaka huu